Hatua Stahiki za Kuchukua ili Kujikinga na Maambukizi ya Korona (Covid-19)

● Zingatia umbali wa mita moja (1) kati yako na wenzako kupunguza hatari ya maambukizi. Zingatia umbali wa mita moja na zaidi kati yako na wenzako pindi mnapokua ndani.
● Vaa Barakoa muda wote unapokua karibu na watu.
● Hakikisha vyumba vinapata hewa ya kutosha (muhimu hewa kuingia na kutoka ndani ya chumba)
● Epuka mikusanyiko
● Safisha mikono yako kwa maji tiririka.
● Safisha mikono yako kwa Vitakasa mikono (Sanitaiza)
● Kohoa katika tishu, kitambaa au kiwiko cha mkono kilichokunjwa.

Adherence to Global COVID-19 Pandemic Measures

● Maintain at least a 1-metre distance between you and others to reduce the risk of infection when they cough, sneeze or speak. Moreover, maintain an even greater distance between you and others when indoors.
● Make wearing a mask a normal part of being around other people.
● Keeping rooms well ventilated,
● Avoid crowds
● Clean your hands with running water
● Cough into a bent elbow or tissue.
● Use hand sanitizer